Betpawa (betpawa TZ)
Betpawa ni mojawapo ya kampuni za ubashiri zinazoaminika zaidi Afrika na hii inaweza kuungwa mkono na kweli kwamba kampuni hii ya ubashiri ina wateja wengi sana Afrika. Betpawa ni maarufu kwa sababu nyingi kuanzia uwezekano wa bidhaa, masoko mengi ya kubashiri matokeo, na michezo mingi ambayo inatolewa kwenye jukwaa hili.
Mtandao wa Betpawa uko sawa na unafanya kazi vizuri kwenye kifaa chochote, iwe kwenye Kompyuta, Kompyuta kibao au Simu mahari. Kampuni hii ya ubashiri ina mechi 17 za jackpot kila wiki kwa wapenzi wote wa Jackpot. Kwa bahati mbaya, Betpawa haina bonasi ya kukaribisha wachezaji wapya.
Sportpesa (Sportpesa TZ)
Inakuwa vigumu kuzungumza kuhusu ubashiri wa matokeo Afrika bila kutaja Sportspesa, hiyo ndiyo hadhi ya Sportspesa katika sekta ya ubashiri wa matokeo Afrika. Sportspesa inapendwa na wacheza kamari nchini Tanzania kuanzia ulipozinduliwa. Sportspesa inatoa michezo mbalimbali ya kubashiri, baadhi yakiwa mashindano maarufu duniani.
Kampuni hii ya ubashiri ina jukwaa nzuri la mtandaoni ambalo ni rahisi kutumia kwa mcheza kamari yeyote, ambayo inamaanisha kwamba wacheza kamari hawahitaji uzoefu wowote wa kubashiri. Sportspesa ina jackpot za kila wiki zinazohusisha mechi za soka kutoka ligi mbalimbali. Kwa sasa, kampuni hii ya ubashiri haina bonasi ya kukaribisha wachezaji wapya.
Premierbet (premier bet TZ)
Premierbet ni tovuti maarufu ya mtandaoni ya kubashiri nchini Tanzania na inapata wateja zaidi kila siku kwa sababu ya jinsi wanavyofanya biashara yao kwa utaalamu. Michezo inayopatikana kubashiri katika Premierbet ni soka, mpira wa kikapu, tenisi, raga, mpira wa mikono, voliboli, besiboli miongoni wa michezo mingine.
Premierbet ina tovuti ambayo ni rahisi kutumia na ukurasa wa mwanzo umejaa viungo muhimu vya kurasa muhimu. Premierbet ina mchezo wa Jackpot ambao unaweza kulipa hadi $250 000. Kampuni hii ya ubashiri ina ofa nyingi kwa wateja waliopo, lakini haina bonasi ya kukaribisha wachezaji wapya.
Supabets
Supabets ni kampuni ya ubashiri ambayo anahudumu nchini Tanzania ambayo alizinduliwa kwa mara kwanza Afrika Kusini na baadaye ikapanuka kwa nchi nyingine za Afrika pamoja na Tanzania. Tangu kuzinduliwa kwake nchini Tanzania, kampuni hii ya ubashiri imepanuka na wacheza kamari wanaipenda kwa sababu inatoa chaguo mbalimbali kwa wateja kubashiri kama vile tenisi ya mezani, gofu, dondi, volibodi, besiboli, raga, mbio za magari na nyingine nyingi.
Supabets ina tovuti ambayo bado inastahili kuboreshwa kuhusiana na muundo wake, lakini yote sawa tovuti hiyo ni rahisi kutumia na wacheza kamari wanaweza kupata chochote wanachokitafuta kwa urahisi. Supabets ina bonasi ya kuweka pesa za kwanza ya asilimia 100 kwa wateja wapya na ofa nyingine nyingi kwa wateja wapya. Pia kuna Jackpots nyingi kwa wacheza kamari wote wanaopendelea kubashiri matokeo kama ya Soccer 4, Soccer 6 na Soccer 10.
M-Bet (Mbet tz)
M-bet ni kampuni ya ubashiri ya Tanzania ambayo inafanya kazi katika nchi kadhaa Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania. Kampuni hii ya ubashiri ya M-Bet ni maarufu sana nchini Tanzania kwa sababu huwapa wacheza kamari michezo mbalimbali ya kubashiri ikiwa ni pamoja na soka, netiboli, voliboli, kati ya michezo mingine.
M-bet ina tovuti iliyoundwa kwa umaridadi ambayo ni mojawapo ya tovuti bora nchini Tanzania, kinachofanya tovuti hii kuwa maalum ni kweli kwamba ni rahisi kutumia na rahisi kurambaza. Kwa sasa hakuna bonasi ya kukaribisha wachezaji wapya kwenye jukwaa la m-Bet. Ni muhimu kukumbuka kwamba kampuni hii ya ubashiri ina jackpot maarufu sana inayoitwa Perfect 12.
Mkekabet
Mkekabet ni kampuni ya ubashiri ya Tanzania ambayo ni maarufu sana na wacheza kamari. Mkekabet hutoa michezo mbalimbali maarufu duniani ili kukimu mahitaji ya kila mcheza kamari na kuhakikisha kwamba kuna chaguo zaidi za kubashiri matokeo zinazopatikana.
Tovuti ya Mkekabet hufuata mpangilio maarufu wa safuwima tatu na sehemu inayopendeza sana ni kwamba ni rahisi kutumia kwa wacheza kamari wapya au wenye uzoefu. Kampuni hii ya ubashiri haina jackpot au bonasi ya kuweka pesa za kwanza, lakini kuna bonasi nyingine kwa wateja waliopo.
Bikosports (Bikosports Tanzania)
Bikosports ni kampuni ya ubashiri ambayo ilizinduliwa miaka michache iliyopita nchini Tanzania na imekuwa ikipata umaarufu tangu wakati huo. Kampuni hii ya ubashiri inatoa michezo mbalimbali ya kubashiri ikiwa ni pamoja na soka, tenisi, raha, netiboli kati ya michezo mingine.
Kiolesura cha mtumiaji cha Bikosports cha jukwaa lao la mtandaoni lina rangi nyingi na kinavutia na wacheza kamari wanaweza kurambaza na kufanya shughuli zao za kubashiri kwa urahisi kwa sababu tovuti hiyo ni rahisi kutumia. Bikosport huwapa wacheza kamari jackpot yenye uwezo wa kupata ushindi mkubwa wa kifedha. Kwa bahati mbaya, kampuni hii ya ubashiri haina bonasi ya kukaribisha wachezaji wapya.